Car Seat Selector

Kichagua Kiti cha Gari

Hatua ya kwanza ya kumweka mtoto wako kuwa salama kwenye gari ni kuchagua kiti cha gari kifaacho. Kifaa hiki kinaweza kukusaidia kuchagua kiti bora cha kiwango cha mtoto wako, au kukusaidia kuamua iwapo yeye yuko tayari kuacha kutumia kiti cha gari na kukua kutumia mkanda wa kiti cha gari cha mtu mzima. Ukubwa wa urefu na uzito hutofautiana kulingana na kiti. Kila mara angalia kitabu cha maelezo cha mmiliki wa kiti cha gari.

AAP & Akron Children's Hospital zinapendekeza watoto wote chini ya 13 wasalie kufungiliwa kwenye kiti cha nyuma cha magari.

Chagua Uzito wa Mtoto
Chagua Urefu

Fanya Mtihani wa Hatua Tano

Bila kiti cha busta, je, mtoto anaweza kuketi na kuegemea dhidi ya kiti cha otomatiki?
Bila kiti cha busta, je, magoti ya mtoto hujikunja kwa urahisi kwenye ukingo wa kiti cha otomatiki?
Bila kiti cha busta, je, mkanda wa kiti hupita kwenye mabega kati ya shingo na mkono?
Bila kiti cha busta, je, mkanda wa pajani upo chini ipasavyo, na kugusa mapaja?
Je, mtoto anaweza kukaa hivi kwa safari nzima?
Ndiyo
La
,